Farm Share

Crop Cash (Kiswahili)

English

Zidisha dola zako za 3SquaresVT/SNAP kwa Pesa ya Mazao (Crop Cash) kwenye soko lako la wakulima!

Unapotumia 3SquaresVT/SNAP katika masoko ya wakulima yanayoshiriki, unapokea pesa za ziada za kutumia kwenye matunda, mboga mboga, mimea, mbegu na mimea chipukizi sokoni.